Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

atletico ni bingwa mwaka huu


Walinijambisha jana hawa jamaa sina hamu nao. Nlipoona ameshapigwa 0-2 si nikachungulia kitufe cha ku-Turbo Payout, nikaona kiko active. Nikaturbo kwa hasara fastaaa ... daaah baadae nakuja kuchungulia wameshinda.
 
Jana hiyoo mkeka wa virusi na matokeo yake[emoji221][emoji79]
 
Wale wa bank abc mshajaribu kuwithdraw pesa??

Hakuna tatizo lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…