Mwana zamu
Member
- Jun 9, 2019
- 90
- 122
Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni
ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE
CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9
NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8
NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9
Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea

1xbet wameanza live streaming unabet live huku unaangalia game humohumoView attachment 1196335
Sana..1xbet basket rahaa sana
Huu ndo mpango ninaoenda nao ni mwendo wa tim 3 kutafuta odds 2 tu na matokeo ni mazuri kuliko mamilion yasiopatkana.Amkeni jamani CORK CITY kafumuliwa tenaView attachment 1196171
Ukitupia usinisahauHuu ndo mpango ninaoenda nao ni mwendo wa tim 3 kutafuta odds 2 tu na matokeo ni mazuri kuliko mamilion yasiopatkana.
Mkuu nawewe unatumia hiyo card ya ABC au bitcoin? Na kiwango unachoruhusiwa ku-withdraw toka 1x account je!1xbet wameanza live streaming unabet live huku unaangalia game humohumoView attachment 1196335
nilifanikiwa asanteKomaa nao siku za kazi Mon-Friday kupitia kwenye namba yao iliyopo kwenye app yao chini,navyosema komaa namaanisha,utapata tu haki yako,hata mimi iliwahi nitokea...
mi niliwapozea kitambo baada ya kuanza usumbufu wa kutoa mpunga. nilitumiaga bitcoinMkuu nawewe unatumia hiyo card ya ABC au bitcoin? Na kiwango unachoruhusiwa ku-withdraw toka 1x account je!
Wazee wa magoli 2+ leo kuna games nyingi za England.
Mrejesho wa game zilizopita jumamosi ni
ENGLAND NATIONAL LEAGUE Game zilikuwa 12 zilizotoa 2+ ni ZOTE
CHAMPIONSHIP game 11 zilizotoa 2+ ni 9
NATIONAL LEAGUE NORTH game 11 zilizotoa 2+ ni 8
NATIONAL LEAGUE SOUTH game 11 zilizotoa 2+ ni 9
Sasa mabaharia tunakwama wapi hata tukichukua game moja moja au hata mbili mbili katika league hizo, kuna kitu kinaweza tokea
1xbet wameanza live streaming unabet live huku unaangalia game humohumoView attachment 1196335
Ipo Playstore ama?MKEKA TIPS
Hii ni website na Android app niliyoitengeneza kwa dhumuni la kutoa betting tips for free, ni BURE na daima itakuwa hivyo. Nilii-publish juzi rasmi na kuanza kufanya kazi huku ikiwa inajulikana na watu wachache tu kupitia matangazo niliyo-share kupitia groups mbalimbali. Najua kila mtu humu anajua kubet vizuri sana ila kupitia App hii itakupa muongozo tu wa masoko yapi mazuri kubetia kwa siku husika na mechi zake. Mpaka sasa WINNING RATE ni 100% ikiwa sijapoteza mkeka wowote ktk mikeka miwili niliyoweka. Nakukaribisha uweze kutoa support yako. Website na App hii vyote havina matangazo na hii ndio maana ya bure.
Website: bit.ly/MkekaTips
Android App: http://bit.ly/MkekaTipsApp
Toa maoni yako kwa maboresho yoyote ktk website pamoja na App.View attachment 1196296View attachment 1196297
Hapana! Haipo Play Store mkuu ila link ya website pamoja na app hizi hapa;Ipo Playstore ama?
Sio kwa mechi zote mkuu, huwa wanaonyesha baadhi ya mechiMkuu wamerudisha lini? Maana juzi nimetaka kuangalia game ya genk haikuwepo live stream
Nimetest jana ikaonyesha labda, wanachagua gameMkuu wamerudisha lini? Maana juzi nimetaka kuangalia game ya genk haikuwepo live stream