Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Baada ya kuisikia Pigabet nikasema ngoja nikawajaribu nione wapoje hasa ukipiga hela kwenye kutoa inachukua mda gani

Nikatia kamkeka kakatoboa leo nikasema ngoja nitoe haka kahela nione itakuwaje, kiukweli wanatuma muamala haraka hawachelewi sana

Tatizo lao ni moja tu hasa kwa wale wanaopenda kutengeneza makokoro hata mkeka wako uwe na odds 1000 wanazikata zinabaki 200 tu
 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
 

Attachments

  • Screenshot_20190904-084526.png
    59.9 KB · Views: 35
Jamaa wako poa sana
 
Asee tunafanana option.. nimekumbuka hiyo game Real Garcilaso vs Alianza, dk 85 hiv kala red nikapoteza faham kwanz, dk ya 91 katupia nikazinduka upya na nkarud kuchek live tena, mech ikakata 0-1..greened.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asee tunafanana option.. nimekumbuka hiyo game Real Garcilaso vs Alianza, dk 85 hiv kala red nikapoteza faham kwanz, dk ya 91 katupia nikazinduka upya na nkarud kuchek live tena, mech ikakata 0-1..greened.
kampuni gani ina mechi za saa hizii wazee au zote kuanzia mchana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…