Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pole sana mkuu jaribu kucheza single. tatizo letu ni kutaka kula pesa nyingi kwa kuweka timu nyingi kwenye mkeka matokeo unajikuta timu moja imechana nyingine zote zimetiki vipi kama ungekuwa umecheza moja moja usingeliwa pesa yako yote.
Ngoja niache kubet kwa muda kidogo; nimeliwa sana.
 
Pole sana mkuu jaribu kucheza single. tatizo letu ni kutaka kula pesa nyingi kwa kuweka timu nyingi kwenye mkeka matokeo unajikuta timu moja imechana nyingine zote zimetiki vipi kama ungekuwa umecheza moja moja usingeliwa pesa yako yote.
BETTING hainaga formula mkuu huyo jamaa ata angesema afate ushauri wako wa kucheza single tufanye aliweka game 7 na moja imechana so kwenye game 6 zilizo tiki ODDS zenyewe ni za 1.27 atakuja kulekule unatumia laki n 40 game 6 zikitiki una ikuta elfu 45 sa hiyo si biashara kichaa. Sometimes naonaga BETTING kama bahati flani hivi.
 
Kwa anaye hitaji verification ya skrill account aje anione inbox...
 
We jamaa huu mkeka ukitiki itabidi tuwe marafiki maana nilishaliwa had nmekoma
 
Kwa yeyote mwenye shida ya kuverfy account yake ya skrill anifuate inbox
 
Pale unapofunga mahesabu kwa uzuri kabisa baada ya loss ya asubuh!! Niliogopa kushare maana kuna watu wananyota za mikosi wakifuata mkeka wako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] just joking wakuu!! But God is good all the time nawatakia usiku mwema tukutane FIBA kesho
 
Endeleeni kusubiria 1xbet huku wengine tunaendelea kupiga pesa huku muhindi anatupiga pia naamini hata huko 1xbet vipigo vipo tu so tusijisahaulishe na kujiaminisha kuwa ukiwa 1xbet huliwi!!
 
Endeleeni kusubiria 1xbet huku wengine tunaendelea kupiga pesa huku muhindi anatupiga pia naamini hata huko 1xbet vipigo vipo tu so tusijisahaulishe na kujiaminisha kuwa ukiwa 1xbet huliwi!!
Angalau 1xbet wamebalance kwamba kila mtu apate, aidha wao au wewe.
Lakini haya makampuni ya kibongo waoga sana, hawaweki mechi zote, pia option zenye unafuu wa kula wanakubana sana ili uingie cha kike (mfano over 3.5) kwa ligi zenye magoli mengi.
 
Endeleeni kusubiria 1xbet huku wengine tunaendelea kupiga pesa huku muhindi anatupiga pia naamini hata huko 1xbet vipigo vipo tu so tusijisahaulishe na kujiaminisha kuwa ukiwa 1xbet huliwi!!
Kkusubiri hadi njia za mobille bongo ni kutaka mwenyewe
Watu tunaendelea na maisha kama kawa na 1xbet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…