SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha..!! Watu ni kubana mapyumbu tu, hakuna namna aliyewakimbia lyon, na inter kisha akacheka chuma cha uso kitampata muda co mrefu, kwa liver, barca au benfica najua kuruka pote apo ni vgumu sana.
Hii hela hii[emoji17]
Liverpool kakutana na wahuni Maulid Kitenge hupenda kuwaita Wakombozi Wa Ng'ambo "The Naples" Napoleon Napoli[emoji3][emoji3][emoji3]Chelsea na Liverpool washatembea na 40000
Chelsea na Liverpool washatembea na 40000
mchana baada ya kubet GG uefa U19 ajax akachana ila chelsea na liver zikatoa,nikakosa hamu ya kubet tena,,saiv ndo navuta picha ni shingapi ningepoteza kwa kanji kwa hali hii..Hahahahaha..!! Watu ni kubana mapyumbu tu, hakuna namna aliyewakimbia lyon, na inter kisha akacheka chuma cha uso kitampata muda co mrefu, kwa liver, barca au benfica najua kuruka pote apo ni vgumu sana.
Yani sasa hivi inplay ndio zinanipa hela
Hizi pre match hamna kitu aiseee
Ukiweka under watu wanafunga kama netball
Ukiweka over wanakata mauno tuu kufunga hamna
Isee betting inazidi kuwa ngumu kila uchwao
yako wapi?CHELSEA BARCELONA LIVERPOOL all to score over 2.5 goals.. Odds 46..
nipe matokeoInter anarudisha na kuongeza
nipe matokeo
Utatukanwa muda s mwingi. [emoji23] [emoji23]Direct win haijawah kumwacha mtu salama,angalau ungeenda na overs 0.5 ft ungekuwa ushafunga hesabu now.
UEFAAAAAA MWANAUKOMEEEChezea UEFA weweView attachment 1210191
Over 0.5 ya Barcelona😂😂😂Direct win haijawah kumwacha mtu salama,angalau ungeenda na overs 0.5 ft ungekuwa ushafunga hesabu now.