Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shida inakuja muda mwingine wana-limit unakuta inaanzia over2.5 muda mwingine hadi over3.5 kulingana na mechi yenyewe,,GG nashauri ligi za russia na canada,ila france huwa inazingua...
Russia inayokubali GG ni KHL na VHL ila kwa MHL wanazinguaga, ligi nyingne nzur kwa GG ni Czech
 
Russia inayokubali GG ni KHL na VHL ila kwa MHL wanazinguaga, ligi nyingne nzur kwa GG ni Czech
yes kweli,usisahau canada GG japo odds haziridhishi ila kwa over 5.5 goals wapo vizuri kama umewacheki
 
Hawawekagi over 1.5 mara nying wanaanzia over 4.5, ila GG inakubali mara nying kama unawasiwasi cheza double chance yaan ashinde yoyote
Kweli,mara nyingi huwa hawaendi overtime
 
Ila bado ni upuuzi kuna makampuni unawapiga hata 10 ila hawahangaiki na wewe
Kweli mkuu au jitahid kushinda kiasi kidogo, maana unaweza shinda million 5 ukatangazwa kinoma wakat mtaan unadaiwa million 8
 
Kwenye icehockey je kama nimeweka double chance ya 12 then hadi mwisho mechi imeisha 1:0 ila kwa overtime or penalty hapo nakua nime win?

Mkuu mtoto wa nzi msaada hapa.
 
Duuh ligi gani hiyo maana watakuwa wanaliwa kila siku, kwa uzoef wangu ukikuta over 1.5 ni kwa team moja yaan team moja pekeyake itoe 1.5 na sio game zima
Ndugu nenda kaangalie hzi game
Russia KHL League
Amur Khabarovrk vs Vladivotok Over 1.5=odd 1.05
HK Sochi vs Dynamo Moscow Over 1.5=odd 1.05
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…