Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata Germany nao leo mwenzie Freiburg nae kashazingua.
 
MINNESOTA WILD

WINNIPEG JETS

Double Chance (1st Period): 12

1.44

CAROLINA HURRICANES

WASHINGTON CAPITALS

Double Chance (1st Period): 12

1.45

RIMOUSKI OCEANIC


DRUMMONDVILLE VOLTIGEURS

Double Chance (1st Period): 12

1.39

CALGARY HITMEN


MEDICINE HAT TIGERS

Double Chance (1st Period): 12

1.41
 
Bancabc wana mawakala wao baadhi ya maeneo hapa Dar... Vilevile unaweza kuweka pesa kwa kutumia tigo pesa, mpesa, halopesa, Airtel money bila tatizo lolote tena faster tu...
Hiv hii haisumbui kuweka hela kwa mpesa ukizingatia mawakala wa hii benk hakuna, mana hiz zingine kuweka kwa mpesa ni hadi uwende mahakamani ndy itafanikiwa!
 
Hiyo ni risiti kutoka bancabc wakala
Bancabc wana mawakala wao baadhi ya maeneo hapa Dar... Vilevile unaweza kuweka pesa kwa kutumia tigo pesa, mpesa, halopesa, Airtel money bila tatizo lolote tena faster tu...
 
Mchawi wangu fc kolin yaani alipewa red card mapema lakini kocha cjui alikuwa anawaza nn na walishafungwa goli 3.....anyway nasubiria free bet angalau pesa yangu haiendi yote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilibet kwa 15000 na nimepewa free bet ya sh. 15000 so hakuna loss hapa ndo unaona raha ya playmaster unapoweka game kuanzia 10 na moja ikaloose
Mchawi wangu fc kolin yaani alipewa red card mapema lakini kocha cjui alikuwa anawaza nn na walishafungwa goli 3.....anyway nasubiria free bet angalau pesa yangu haiendi yote [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1219047
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…