Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Game zote UEFA leo

UNDER 5.5goal

Odd 4.5

Weka nyumba kabisa, usubili gorofa kwa wakala
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hapo Game ya Liverpool na ya Man city zitakuchania Mkuu....tena hata ya Lyon na ya PSG
 
Watoto wa UEFA naona goli za kumwaga, sasa sijui baba zao ucku wataiga mfano huu tujilipue kwa 2+
 
ni kampuni gani yenye michezo mingi ya basketball nataka nipumzike football maana ni vipigo tu
 
Uefa champions league zote pita nazo UNDER 1-first half tia elfu 10

Uu mchezo pia unaitaji ujasili vile vile
 
ngoja tuone mwisho wa hili treni .
 
Attachments

  • Capture.JPG
    47.2 KB · Views: 21
  • Capture.GIF
    61.6 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…