Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante sana.
Ufafanuzi murua sana mkuu
thomas_360
 
baada ya mechi hii .....zidane anafungasha virago kiukweli
 
madrid sjui kwann nlimpa direct win jaman na ndo nlimuamin nkija mechi ya kwanza kapoteza hii ya leo atashinda kumbee... mhh
 
Madrid imejaa wazee jamani so kufungwa ni kawaida kwa sasa wacheza waliopo ndo hao hao wa misimu mitatu hadi 4 nyuma mfululizo mechi nyingi sana wanacheza so lazima wapate vichapo kwa sasa na hivi mbadala wa ronaldo hakuna ndo kabisa!! Hazard alitakiwa kubaki tu Chelsea. Ametusaliti Chelsea so cha moto anakiona ni kama vile Torres alivyoondoka Liverpool akahamia Chelsea hakuna chochote cha maana alichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…