Napoli wameharibu tayari duh
Hapo sasa ... yani Over 1.5 siioni hapa kwa Genk/Napoli. Second half dk ya 75 sasa hakuna shot on target hata moja.
Kuna upepo unapita mbaya sn kwny hii biashara. Dawa kwenda nao sawa InPlay
Borussia Dortmund nae over 1.5, imemshinda asee kazi kweli kweli.
Kweli mkuu. Ila hii kazi inatakiwa utaratibu wa kucheki moyo kila wiki.Imetoka mkuu
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5 [emoji777]
Napoli win [emoji777]
GG [emoji777]
Over 2.5 [emoji777]
Sub over 5.5 [emoji777]
Nilipa direct ashindeKapigwa napoli au.
Weka mkeka tuone boyLaki yangu imeenda iv iv
Game ya genk vs Napoli mikeka yangu ifuatayo chalii
First half over 0.5 [emoji777]
Napoli win [emoji777]
GG [emoji777]
Over 2.5 [emoji777]
Sub over 5.5 [emoji777]
0_1 ftHahahaha aaahhaaaahaa
Siyo kwamba nimefurahi sana, lahasha hiki ni kicheko cha huzuni, inafika wakati sasa hata kulia unashindwa pamoja na kwamba kichapo ni kikubwa unachopata.
Napoli hata over 0.5 hakuna?
Acha tuu haya mambo hayataki hasira,,Hahahaha aaahhaaaahaa
Siyo kwamba nimefurahi sana, lahasha hiki ni kicheko cha huzuni, inafika wakati sasa hata kulia unashindwa pamoja na kwamba kichapo ni kikubwa unachopata.
Napoli hata over 0.5 hakuna?