Weka mikeka iliyoshindaNimeshakula zaidi ya laki muda huuu
Team 5 nyingi mnoo.Naanza nayo kesho hela haziwezi kwenda hivi hivi lazima zirudi na zikirudi naacha kabisa kucheza maana mmmhhh
Betting bhana kumbe wamepga goli nying!Kama waliifuta sawa, uwezekano wa Samata kufunga ni mkubwa maana game ina magoli mengi si chini manne
da mzeee nipo mlangoni kwako huku PMHiyo nyingineView attachment 1222207
HahahaBetting bhana kumbe wamepga goli nying!
Unapo ona ana chezaMambo matano niliyo gundua leo kwenye uefa!
1.salzburg ni team hatari sana kwa sisi wa kamari kwenye league to avoid sana ku m limit magoli
2.ajax wamekomaa wameiva sana...hata mwaka huu watafanya makubwa wanapiga mpira wa kitabuni haswa
3.chelsea gg ni better option kw sasa zonal making kwake bado ni tatizo atafunga na kufungwa sana
4.napoli siyo league siyo uefa mara nyingi akikukosa first hald huwa anafungwa mwishoni au sare rejea game ya Cagliari' na genk
5.kanji sometimes anatu ogopesha na odds ,team inauwezo atii inapewa 5 ajax ,lyon mamelod anacheza na kibonde anapewa 2 ili tuogope
Are mimi aiseJana nimekula Loss za kutosha!
KELOWNA ROCKETS V TRI-CITY AMERICANS
Double Chance (1st Period): 12
1.38
EDMONTON OILERS V VANCOUVER CANUCKS
Double Chance (1st Period): 12
1.42
ST. LOUIS BLUES V WASHINGTON CAPITALS
Double Chance (1st Period): 12
1.42
ODDS 2.76
Tukutane asubuhi
Chagua timu chache kama 3,4 or 5 harafu unatupia Twenty or ten or Five thousand hutajuta,,,,juzi nilimpiga hivyo hivyo Jana napo nikampiga japo kwa mbinde sana maana nilijuwa nimeliwa ila Barcelona wakafanya changesJana nimekula Loss za kutosha!