Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilisema taacha kubet ila naona ni ngumu sana kama mvuta sigara kuacha au mla unga kuacha,,, ila unaweza kuachaje kwa mfano yani unaweza ten or twenty harafu unashinda laki or above laki,,, Mie naona hata maisha simple tuu huku unapokea salary wakati huku unapata hela za food na bia na pamba vijana tupambane
 
Nilikwambia brother tuendelee na uraibu
 
Basi mkuu acha niamie japan kwenye team ndogo
 
Chagua timu chache kama 3,4 or 5 harafu unatupia Twenty or ten or Five thousand hutajuta,,,,juzi nilimpiga hivyo hivyo Jana napo nikampiga japo kwa mbinde sana maana nilijuwa nimeliwa ila Barcelona wakafanya changes
Sometimes bet ni zaid ya ujuavyo katika izo team 3 unazo chagua mchawi pia hakosekan

Sasa kwa yale matokeo ya Napoli una mkwepa vipi kanji?
 
Leo nimeamka na wazo la 28+ ,

Ngoja nijaribu kuucheza kwa league ya Europa


Goli lipatikane kuanzia 28 minutes !!!!
 
Noted
 
Ebu wacha porojo zako, screenshot mikeka yako hata 3 uweke hapa la sivyo utakuwa unataka kutuchezea shere
 
Mkuu Achana na hichi kikiazi, Tangu mda kinaulizwa kiseme ni dc ipi ila hakisemi..ni kipumbavu sana hichi kivaddy..kipuuzi kweli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ni kipumbavu sana hichi kivaddy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…