Poa poa sasa hapa ndio umeongea kiutu uzima.Mkuu unazani nadanganya teh teh teh View attachment 1222468View attachment 1222469View attachment 1222470
Share za leoKubet bwana ni strategies tu
Fateni formula yangu tu matokeo mtakayo yapata naamini mtayapenda
Rule no 1 usibeti ligi kubwa,mechi kubwa
Rule no 2 double chance first half
Apo una select timu zako tano unapata 2odds yaani hapo wewe kilio utakisikia kwa jiranii
Share double chance z leo mzeeHahaaha
Mambo matano niliyo gundua leo kwenye uefa!
1.salzburg ni team hatari sana kwa sisi wa kamari kwenye league to avoid sana ku m limit magoli
2.ajax wamekomaa wameiva sana...hata mwaka huu watafanya makubwa wanapiga mpira wa kitabuni haswa
3.chelsea gg ni better option kw sasa zonal making kwake bado ni tatizo atafunga na kufungwa sana
4.napoli siyo league siyo uefa mara nyingi akikukosa first hald huwa anafungwa mwishoni au sare rejea game ya Cagliari' na genk
5.kanji sometimes anatu ogopesha na odds ,team inauwezo atii inapewa 5 ajax ,lyon mamelod anacheza na kibonde anapewa 2 ili tuogope
mpe double chance utakua salam zaidiunazungumziaje leo man united kupewa 2
Unatumia njia gani kutoa hela??Jana Nilipita Hivi.View attachment 1222467
Huu ndo usenge kwenye kubeti, stake ndogo kwa odds kubwa inatoa, stake kubwa kwa odds kubwa muhindi hakuachi salama....Hatimaye naanza kufuzu
BancABC Prepaid CardUnatumia njia gani kutoa hela??
Nilisema taacha kubet ila naona ni ngumu sana kama mvuta sigara kuacha au mla unga kuacha,,, ila unaweza kuachaje kwa mfano yani unaweza ten or twenty harafu unashinda laki or above laki,,, Mie naona hata maisha simple tuu huku unapokea salary wakati huku unapata hela za food na bia na pamba vijana tupambane
SupabetNaomba kujua ni kampuni gan ya betting ukiondoa betpawa na 1xbet yenye kuweka mechi kutoka mataifa ya Africa?