wakuu hivi kiwango cha chini kutoa pesa premier bet ni kiasi gan?
aisee natoa 3000 naambiwa ni ndg kuliko kiwango cha chini cjui vp1000
Sometimes bet ni zaid ya ujuavyo katika izo team 3 unazo chagua mchawi pia hakosekan
Sasa kwa yale matokeo ya Napoli una mkwepa vipi kanji?
Wakuu habari
Karibu tena
RB Leipzig kasepa na kijiji, ndiyo kubet stake what you can afford to lose.
4000/= mkuuwakuu hivi kiwango cha chini kutoa pesa premier bet ni kiasi gan?
Angalau umeonesha we ni mtu!Mkuu unazani nadanganya teh teh teh View attachment 1222468View attachment 1222469View attachment 1222470
Mbona wote mnamdanganya kuna mmoja alisema 1,000/= wewe nawe muongo eti 4,000/= ukweli ni kuwa ni kuanzia 10,000/=4000/= mkuu
We hakuna kabsa..yan odd 61 unaeka 100 brazaHatimaye naanza kufuzu
Kwa premeirbet ni 15000 kiwango cha chini..saiv kuna limit.wakuu hivi kiwango cha chini kutoa pesa premier bet ni kiasi gan?