hahahahaMechi kibao ila kupata game tano tu imekuwa mtihani. Never give up siku akikaa kwenye formula unambutua za kutosha. Hii kazi haina tofauti na watu wanaochimba madini. Huwa wanakuwa na imani tu ipo siku watatusua
ungeweka 10k ..hahahahahahHahaaaaa leo kanji kafia kwa muuza supuView attachment 1224536
Inter yko hot sana akiwa na ALEX Sanchez na Lukaku, wanatupia hatarKwanini mhindi kampa inter Milan uwezekano mkubwa wakushinda game kuliko juventus wakati ninaona juventus akiwa strong zaidi..?
Niliweka bukuBooom huu mkeka umetiki vipi uliweka Tsh Ngapi? , leo kanji naona kipigwa za us
Sasa kama profile Kenya, namba ya simu ya Safaricom utasemaje app ya 1xbet ni tofauti tofauti kulingana na zone uliyopo?????Plof ya kenya
Namba ya simu ya kenya kaka
Alex will not play due to red cardInter yko hot sana akiwa na ALEX Sanchez na Lukaku, wanatupia hatar
But Lukaku is there to scoreAlex will not play due to red card
Bana wee ... acha ksb, anafikiri nimeanza jana kubet. Yeye hatuambii hizo InPlay anapiga ngapi na ngapi anatawazwa.Vijana wa siku hizi wanadharau aisee!
Hahahaha ... kumbe anatafuta dem? ... kila la kheri kwake. Huko nako tuna uzoefu pia, umri unatubeba.Mkuu umeshapata mchumba?? Kuna uzi nimeona unatafuta mchumba.
Nilijua tu Tots wasingechomoka pale ...Pole kamanda ... japo game ndo kwanza dk ya 38 na Tots wako nyuma kwa goli mbili, hii naweza kusema Tots wameshapoteza. Ushindi wao hapa ni Draw. Hawa madogo wamefufuka leo hatari, wanacheza mpr mwingi sn.
Hata kwangu leo nimempata mara 2 na nimemtegeshea zingineHahaaaaa leo kanji kafia kwa muuza supuView attachment 1224536
Umenikumbusha mbali kipindi hicho dahBana wee ... acha ksb, anafikiri nimeanza jana kubet. Yeye hatuambii hizo InPlay anapiga ngapi na ngapi anatawazwa.
Watu tumwshacheza hadi Virtuals ... hajui tu.
Ungeweka hapo laki kesho tungekusoma katika mabango ya betpawaHahaaaaa leo kanji kafia kwa muuza supuView attachment 1224536
Hawajui kama ww ni mzee wa zaman?Bana wee ... acha ksb, anafikiri nimeanza jana kubet. Yeye hatuambii hizo InPlay anapiga ngapi na ngapi anatawazwa.
Watu tumwshacheza hadi Virtuals ... hajui tu.
TOTTENHAM ANASHINDA HAND CAP 3 KWA 1
AEK ANTHES ANA TOKA DRAW
GALATASALAY ANASHINDA 1 BILA AU MBILI MOJA DARWA HANDCAP
Sipat picha ule muda lecster wanapiga goli la kusawazisha ilijisikiaje mkuuNataka arudi kwao akalime tu huyu kanjiView attachment 1224689