Mkuu hiyo siyo betting bali ni KARATA TATU. Probability ya matukio haya kutokea = 0%. Kama kweli ni mtu wa betting utakuwa umenielewa. Badala ya kucheza hivi, si uwape ushindi Man U halafu utie milioni? 😆 😀 😀Maoni yangu leo kuelekea game ya chelsea
Kati ya dkk ya 20-35
Mason mount ataiandikia chelsea goal la kuongoza na kupelekea Chelsea kwenda ht matokeo ikiwa 0-1
Kati ya dkk ya 50-75
Southampton watasawazisha na ubao kusomeka 1-1
Dkk kati ya 80 - 90+ Olivier giroud akitokea sub ataiandika Chelsea bao la pili na game kuisha 1-2.
So option zifuatazo leo uhakika 90℅
Chelsea win ht/ft odd 3+
Chelsea win ht odd 2.50+
Highest scoring second half odd 2+
2nd half over 1.5 odd 1.86+
Second half droo (X) odd 2+
Gg & 3+ odd 2+
2nd half gg odd 3+
2nd half cs 1-1 odd 4+
Cs 1-2 odd 7+
Mount to score at any time odd 3+(at ht odd 4/5+)
Substitution player to score odd za kutosha.
🙌🙌😂Kwa mara ya kwanza nimecalculate kupitia nyota.
Watu hawataki kushinda kwa stressLeo watu mnamkimbia man utd. Sasa utashangaa anashinda kiulaini na odds zake mlima
Umenikumbusha mbali kipindi hicho dah
Kapata nyekundu mapema sanaa dakika ya 26,alikula umemeceltic anaharibu huko
Mount kapiga goal dkk ya 23' 🤣🤣Maoni yangu leo kuelekea game ya chelsea
Kati ya dkk ya 20-35
Mason mount ataiandikia chelsea goal la kuongoza na kupelekea Chelsea kwenda ht matokeo ikiwa 0-1
Kati ya dkk ya 50-75
Southampton watasawazisha na ubao kusomeka 1-1
Dkk kati ya 80 - 90+ Olivier giroud akitokea sub ataiandika Chelsea bao la pili na game kuisha 1-2.
So option zifuatazo leo uhakika 90℅
Chelsea win ht/ft odd 3+
Chelsea win ht odd 2.50+
Highest scoring second half odd 2+
2nd half over 1.5 odd 1.86+
Second half droo (X) odd 2+
Gg & 3+ odd 2+
2nd half gg odd 3+
2nd half cs 1-1 odd 4+
Cs 1-2 odd 7+
Mount to score at any time odd 3+(at ht odd 4/5+)
Substitution player to score odd za kutosha.
🙌🙌😂Kwa mara ya kwanza nimecalculate kupitia nyota.
yapWakuu hapa mhindi haponi, akipona anajeruhiwa vibaya sanaa, akijeruhiwa hazikwi, akizikwa haozi, lazima utiki tu
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1225063
Umekubali mwenyewe kwamba haina tofauti, sasa anatafuta ya Kenya ya kazi ipi wakati tofauti hakuna, hahahahahahaaaWe Jamaa una penda ligi tu
Kuhusu iyo app ya 1xbet kenya ipo
Wakat tuna hangaika na 1xbet kuna mtu alidokeza kuhusu kutumia Safaricom kama njia mmbadala baada ya payment method zetu kuondolewa ivo
Ilkua tuba tumia VPN mfano mm nlkua natumia HOLA VPN ku cheat location na kusajili Acc mpya kupitia namba ya Safaricom
Uki tumia vpn ukisearch 1xbet ulkua unaipata 1xbet.ke/co na payment method zina kuja izo za kenya kwa hyo hiyo app aliyo kua aki hitaj jamaa ilkua uki idownload inakua ime andikwa kabisa 1xbet.ke haina tofaut yoyte na hyo unayo itumia
Hayo majaa wakati mwingine huwa yanakuwa na hasira hasa kwa timu kubwaWolverhampton wanakaba mpaka kivuli.
Kwahyo wamaanisha UNITED ndio anaharibugu bet pekee yake?Watu hawataki kushinda kwa stress
Unampa man u halafu kila saa unachungulia live score mambo gani hayo.
Sababu ni timu kubwaYanga anapointi ndogo sana leo, au yupo vizur zaidi ya coast un?