Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu, mbona mimi SMS CODE haiji, ili niweze kutoa hela???
Unatumia line gani kwan me natumia tigo ila cjaona ttzo naipata ndan ya dakika moja Cha kukusaidia fanya ivi bonyeza pale kwenye namba za account au jina utaona maneno chini top up withdraw na transaction history bonyeza hapo Transaction history utakuta km request ipo pending au km Kuna shida wanakuelza vzur tu km muamala umefeli wanaeka na sababu (Hii kwngu ndio naona hivo cjui kwenu) au ikishindikana click pale customer support uchat nae watakujibu waulize
 
Kuna changamoto mkuu, mimi najaribu kudeposit msg ya taarifa haiji kwenye simu yangu.
KuDeposite rahisi tu, hata isipofika meseji kwenye Simu...unaweza kujaribu kiasi kidogo, ikiaingia.(Nimefanya hivyo mara kadhaa).


Mi inayonisumbua ni kutoa, SMS CODE haifiki...yaani nakuwa siko huru hata kucheza vizuri...nikiweza kutoa nitakuwa na nguvu.
 
Mi nashida hapo Mkuu. Bombo ngafu.

Ninapotaka kutoa, naambiwa nisubiri SMS CODE (Na haifikii).

Natumia Tigopesa pia.
 

Naunga Mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…