thomas_360
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 1,454
- 1,436
Fanya ivi nenda kwenye account yako kama vile unavyoenda kuwithdrawal kwa juu utaona kaalama ka kalamu bonyeza hapo baada ya hapo utaona tena kwa chini umeandikiwa activate by email bonyeza utatumiwa email nenda kwenye email yako confirm baada ya hapo ukitaka kutoa hela inatoka moja kwa moja hakuna maswala ya sms codeMi nashida hapo Mkuu. Bombo ngafu.
Ninapotaka kutoa, naambiwa nisubiri SMS CODE (Na haifikii).
Natumia Tigopesa pia.View attachment 1228777
hiyo maneno ya jamaa ni kejeli...na wala hamaanishiWe inaonekana mgeni na wala ujui vzuri haya makampuni,,,,,Yaani unaringanisha Betpawa na 1xbet kweli????????
mchezo gn nicheze huko asiaWale wa wazee inplay 1xbet hela zipo Asia huko
Hata bila sms nimeona pesa imeingia nimejaribu kufanya kwa kusema potelea mbali ila ikaingia. But not recommended..wale wanaosumbuka na sms codes mnashauri kufanyia miamala yenu kwenye upande wa web na siyo app.
Wameludisha mobile payment za TanzaniaWe Jamaa una penda ligi tu
Kuhusu iyo app ya 1xbet kenya ipo
Wakat tuna hangaika na 1xbet kuna mtu alidokeza kuhusu kutumia Safaricom kama njia mmbadala baada ya payment method zetu kuondolewa ivo
Ilkua tuba tumia VPN mfano mm nlkua natumia HOLA VPN ku cheat location na kusajili Acc mpya kupitia namba ya Safaricom
Uki tumia vpn ukisearch 1xbet ulkua unaipata 1xbet.ke/co na payment method zina kuja izo za kenya kwa hyo hiyo app aliyo kua aki hitaj jamaa ilkua uki idownload inakua ime andikwa kabisa 1xbet.ke haina tofaut yoyte na hyo unayo itumia
hawa play master siku hizi kudeposit pesa mbona inachukua muda isee au ni kwangu tu isee
pole mkuu isee, mm wananifurahisha tu kwa option ya sub tu 1x bet nitarudi nikiona wametulia maana wale hawaeleweki na wenyewe mara kesho unaweza ukaamka ukakuta payment system za bongo zimeondolewaHao waseng£ mimi wananikatalia kuwithdraw. Nimehamishia majeshi 1xbet nawaacha wabaki na Kampuni yao ya Kishoga
pole mkuu isee, mm wananifurahisha tu kwa option ya sub tu 1x bet nitarudi nikiona wametulia maana wale hawaeleweki na wenyewe mara kesho unaweza ukaamka ukakuta payment system za bongo zimeondolewa
Una kosaje hela 1xbet kwa mfano
Wazee wana kwambia official added time first half over 1.5 odds 2
Ha ha ha ha options kama iz huwezi ikuta
Betpawa
Princessbet
Parimatch
M bet na wapuuuzi wengne
Nb
Bet Responsibly
Kampuni za bongo janja janja nyingi mzeePm bet je
pole mkuu isee, mm wananifurahisha tu kwa option ya sub tu 1x bet nitarudi nikiona wametulia maana wale hawaeleweki na wenyewe mara kesho unaweza ukaamka ukakuta payment system za bongo zimeondolewa
mkeka wangu Austria nimemtoa