Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkongwe hii nimeitafuta nayo nimeikosa aisee! Ingawa natumia App
ipo sio kwenye mechi zote hiyo optn naona wana chagua michuani hii mikubwa ngoja niki pata mda niangalie iz mech zip za euro watakazo kua wame weka hii option
 
Wakuu hapa inakuaje muamala unarudi kwenye account ya airtel money au?View attachment 1229327
Hili tatizo limenikuta pia. Baada ya kuomba meseji ya deposit ilikuwa haifiki hivyo siku deposit pesa tena, baada ya muda kama hukufanya Muhamala inaexpire.

Cha kufanya kama hawakuletei meseji wewe deposit tu utakuta hela yako kwenye account.
 
Masaa matatu sasa bado haijaingia kwenye acc ya 1xbet
 
Kama masharti hayajabadilika basi ni team moja odds ya 1.8 kwenda juu
Baada ya kula nikukule na mrusi akanimaliza pesa yangu na niliyomla ghafla nakutana na bonus ya 5k lakini kuistake ndio imekuwa ngumu inagoma. Mwenye ufahamu naomba nifahamishe how to use ut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…