Ha ha ha ha uyu mkongwe yeye kafunga ndoa na M bet mi ile kodi ya 20% ndo hua ina ni chefua tu odds una jikuta ume tafuta 3 stake 10k afu hapo hapo jamaa wana beba 20% siwezi kwa kwelHiv wewe kubadilika huwezi?
Tz shida nini? Si ubadilike!
Dah! imegoma
Soma msg yao ya bonus inakutaka ufanye nin
Nazani kafanikiwa tayar game izo kachagua zenye odds above 1.8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole wamicky...1xbet karudi lakini siyo kwa kunichapa yaani toka 100k nimebaki na 3k daah naona ka Nuru kwa mbali View attachment 1229522
Hii shidaa mi mwenyewe inanikumba sana, ila hata kwa email kwangu wana niambia kuna email with further instructions has been sent ila tangia jana hadi leo hakuna email yoyote iliyokuja kwanguFanya ivi nenda kwenye account yako kama vile unavyoenda kuwithdrawal kwa juu utaona kaalama ka kalamu bonyeza hapo baada ya hapo utaona tena kwa chini umeandikiwa activate by email bonyeza utatumiwa email nenda kwenye email yako confirm baada ya hapo ukitaka kutoa hela inatoka moja kwa moja hakuna maswala ya sms code
Baada ya kuactivate account furahia kutoa pesa View attachment 1228856View attachment 1228861
Hii shidaa mi mwenyewe inanikumba sana, ila hata kwa email kwangu wana niambia kuna email with further instructions has been sent ila tangia jana hadi leo hakuna email yoyote iliyokuja kwangu
Mkuu fungua option plz1xbet karudi lakini siyo kwa kunichapa yaani toka 100k nimebaki na 3k daah naona ka Nuru kwa mbali View attachment 1229522
Angalia hata kwenye spurm folder mkuu au labda email uliyoweka ulikosea
Angalia kwenye spam messages utaiona.. Kama kwenye inbox hujaikuta.Hii shidaa mi mwenyewe inanikumba sana, ila hata kwa email kwangu wana niambia kuna email with further instructions has been sent ila tangia jana hadi leo hakuna email yoyote iliyokuja kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole wamicky...