Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau tupunguze maneno ya kashfa sio wote tunauwezo sawa wa kufikiria ndo maana kwenye mashindano yeyote huwa kuna wa 1 hadi wa mwisho na sio kwamba yule wa mwisho hajui hapana Ila nikuzidiana tu na sio kila mtu yupo perfect katika kila sehemu ndo maana hata kwenye maswala ya darasani kulikuwa kuna vipanga katika somo husika, so mtu anapohitaji msaada msaidie tu hata kama kwako unaona ni jambo dogo we msaidie tu ukiona unashindwa au limekukera kaa kimya tu hutapungukiwa na kitu chochote!! kumtupia MTU maneno makali ni kukosa maarifa na hekima so tuwe tunajitathmini sometimes unaweza ukamjibu mtu kwa hasira kutokana na stress za hapa na pale basi akili zako zinapokurudi unaweza kumfuata MTU PM na kusuhulisha unajua maisha na kama duara mwanzo wala mwisho haujalikani so Leo unaweza ukamsema mtu vibaya humu kesho anaweza akawa msaada kwako!!

anyway nawatakia mapigano mema na kanjibahi!!! but niwasahii kuhusu 1xbet tusikamie sana huko maana nimeona humu watu wanalalamika sana betting sites zipo nyingi hata hizi za kibongo zinatosha...wengine wanafuata mkumbo jamani kwenye betting hakina sure option ya 100% haya mambo ni ubashiri tu popote zali linaweza likakutoa sehemu moja kwenda nyingine...
 
kote nimeangalia kiongozi, tokea jana nahangaika nimejabu mara nyingi nimeshindwa, ila nilijaribu kwa telegram kule ndo walinitea code nika verify sasa sijui kama hawatanisumbua wakati waku withdraw
Kwa Telegram ulifanyaje???? Maelezo please.
 
Mm nacheza team flan ishinde set let say set one Nampa awin akifkisha 25 balls over mwenzake ndo anakua amewin set
 
I can write not good only about the support on the mtandao. but others is good. high odds and wengi matches
 
Kwa kuongezea usiende tu 1xbet kwa kuwa wengine tunaenda angalua je una uhitaji nayo sana.
Maana mwingine yeye anachezaga direct win tu. Sasa huyu 1xbet ya nini[emoji23][emoji23]
 
Mm nacheza team flan ishinde set let say set one Nampa awin akifkisha 25 balls over mwenzake ndo anakua amewin set
Ni sawa na naelewa ila usifikir ni rahis hivyo kufikisha hizo 25, atakutwa na atapitwa na mwenzake kizembe tuu...betting is betting regardless what!
 
jamani msaada kampuni gani lakubet ambalo lina turbo cash out ukiachana na meridian maana app yao inazingua san
na ukija pmbet wenyewe wana cash aut hadi ubet laki
 
jamani msaada kampuni gani lakubet ambalo lina turbo cash out ukiachana na meridian maana app yao inazingua san
na ukija pmbet wenyewe wana cash aut hadi ubet laki
Pm bet sio kweli kwamba hadi laki kikubwa game zingine ziwe hazijaanza.

Halafu mnatuchosha na haya maswali kila siku ndio maana wengine wanawajibu hovyo.

Hiyo huduma ipo

Meridian
Playmaster
1Xbet
Parimatch
Mkeka bet.
 
Mie nimejiunga ladbrokers napiga mikeka alafu option kibao unamaliza ishu zote kwenye internet na hela inaingia wewe ni kwenda pale new afrika cassino unachukua mpunga wako ni rahisi sana kujiunga
Sikuhizi haina haja ya kwenda new frica labda kama unatumia bet card kama unatumia njia nyingine kama VISA EBAY NK..wanakutumia moja kwa moja kwenye account yako hizo njia pindi tu ukiwithdraw
 
Ni sawa na naelewa ila usifikir ni rahis hivyo kufikisha hizo 25, atakutwa na atapitwa na mwenzake kizembe tuu...betting is betting regardless what!
Me ckusema ni rahic kupata nimejbu sual la unatumia option gan nikaona niseme namm nnayotumia hata odds 0.1 inachana ila toka nilpocheza odds nyingi kwa win set one km amepewa direct win odd ni chini ya moja bac na win set inakua chini ya moja 0.5-1.2 wanaopewa 1.2 bac possibility ya kuchana ni kubwa km usa na Canada direct win usa alkua na 0.9 odds win set 1 alkua na 1.2 set 1 akapgwa na Canada kwa tofaut ya ball mbili km.ivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…