Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu msaada,kila nikijaribu kuinstall app ya 1xbet napa ujumbe huu hapa chini,simu yangu ni tecno w4.
 
Naomba mtu anifundishe Haya mambo ya over 2 au under 2 kwa kifupi over na under ni nini !?
Over 2- ili ule ni lazima magoli yawe matatu jumla na kuendelea. Yakiwa mawili unarudishiwa hela yako, likiwa moja umelost.
Over 2.5 ili ule ni lazima magoli yawe matatu na kuendelea pia. ILA yakiwa mawili umelost.
Under 2 ili ule ni lazima kuwe na goal 1 au kusiwe na goal. Yakiwa mawili kamili unarudishiwa hela yako, yakiwa matatu na kuendelea umelost.
Under 2.5 ili ule ni lazima kuwe na magoli mawili kushuka chini, yakifika matatu umelost.
 
Account yangu ya 1xbet iko active ila nimeshindwa kuitumia coz Namba iliyoko ni ya zamani sana na nilishaiacha haitumiki..nimejaribu kuingia kwenye personal info na kuedit naona kwenye kipengele cha Namba ya simu haiwezekani..

Nimejaribu kuwatumia E-mail naona kimya..nitawezaje kudeposit bila namba ya simu ambayo ni active? Msaaada tafadhali.!
 
over 2 ni kuanzia magoli mawili na kuendelea lakini timu ikiwa 2-0 au 1-1 pesa yako inarudishwa kama ilivyo(money back) hauja lose wala kupata faida sema iko safe
 
issac77 msaada kiongozi..najua wewe ni mdau wao.
 
Nenda kwenye app kuna kitu kama pen click kisha utaona change phone number utaweka hiyo mpya, au register account nyengin kwa number yako mpya
 
Nenda kwenye app kuna kitu kama pen click kisha utaona change phone number utaweka hiyo mpya, au register account nyengin kwa number yako mpya
Iligoma..kufungua account nyingine it means itabidi nifungue pia e mail nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…