Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Mzee baba angalia utaingiza watu chaka. Hii uliyoka hapa haiwezi kutoa.NORWAY VS SPAIN (OVER 3.5)
ODDS: 2.82
Shukran ndugu kwa maelezo safi!Jungle fighter
Hyo promocode mkiweka hyo hyo inayofanana hata kama ni 100 anaefaidika ni yule wa kwanza aliyeitoa maana yeye ndo anaonekana kama analeta wateja kwa hyo kwa kila ambaye atajiunga kupitia promocode yake wanamlipa
kwa hyo kwa ambye anaingaika kuitafuta sio lazma labda wewe ukishafungua ac yako ndo uangaike kutafuta watu watumie code yako
Wewe Mungu Sio? Au Ni Kocha Wa Timu MojawapoMzee baba angalia utaingiza watu chaka. Hii uliyoka hapa haiwezi kutoa.
Leo siwafuati odd ndogo
Leo odd ndogo,,inataka stake nonoo...Leo siwafuati odd ndogo
Huku naona kumenoga sema sijajua kanuni za mchezoTunavizia taratibuView attachment 1230748
Leo hapaeleweki kwa kweliLeo odd ndogo,,inataka stake nonoo...
Jana mrusi na kanji wote wamenikausha...Leo hapaeleweki kwa kweli
Tatizo vitoto vimekuwa vingi sana na stake zao za 500 ila kipindi Cha nyuma watu walikuwa makini na hata mikeka yao na stake zao zilithibitisha umakini huo.Mzee mimi ni mmoja wa wakongwe wa huu uzi, hii hali ya 1xbet mara imefanya hivi mara vile ilikuwepo haijaanza leo ila sasa imezidi mpaka uzi umekuwa wa kishamba! No offens
Ukitazama wengi wanauliza maswali ni kama wanaanza kucheza kamari leo au hawana hata mwaka mmoja kwenye hii tasnia! Maneno meeeengi alafu yote hayana maana.
Hizo habari za 1xbet kufanya ushuzi wahusika wadil nazo wao kivyao ukipigwa tulia ugulia maumivu kivyako
BASIASI a.k.a Pdidy mnamuona kama mjinga ila anavyovifanya vina maana zaidi kuliko kueleza matatizo ya 1xbet ni TOO MUCH IFIKE MUDA MPUNGUZE rejea ata page mbili tu uone ni matatizo matatizo matatizo
Duwa zenu jmn bdo Spain hpo acje chomoa betri
Haha unabetia hadi hali ya hewaIla 1xbet na vi option vyake banaaa
Hahahaha
Good! Kila kitu kikizidi kinakera.Mzee mimi ni mmoja wa wakongwe wa huu uzi, hii hali ya 1xbet mara imefanya hivi mara vile ilikuwepo haijaanza leo ila sasa imezidi mpaka uzi umekuwa wa kishamba! No offens