Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa Mkuu mbona na wewe umetuletea vijembe? Badala ya kuleta madini.
 
mavb

-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB

HT 0-0
 
HT 1-1
 
Km n 1xbet tigo no tatzo, kwan n kampun yako hii ya muda mrefu au mteja mpya
Ni muda tu natumia toka 2017 na nilikuwa natoa fresh. Walivyoondoa malipo ya mitandao yetu nikasepa hivi walivyorudisha ndio na mimi nimerudi. Cha ajabu ndio nakutana na hii shida.
 
I appreciate bro ,
mavb

-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB
Mara chache ukapost mkeka ukaenda na maji !!! Big up bro endelea kutupia humu ma ghost followers tupo !!!!
 
Umekosea shabaha mzee, angalia vizuri uliyetakiwa kumjibu
 
mavb

-------------------------------------
► Date : 12/ 10 / 2019
► League : Brazil
► Match : Coritiba - Criciuma
► Tip : X/1 HTFT
► Odd : 6.00+
-------------------------------------
MAXB
BOOOOOOOOOOOOM
 
Kuna siku niliongea kuahusu 1xbet kushare exp nilionekana waajabu sana ila nili won two tyms na sikulipwa 1xbet kwa sasa yakishamba sana na wamekuja kutupiga hela zetu anaendelee kwa ajili ya options aendelee ila kwangu mimi naona inatosha narudi kwenye vimeo vyangu ambavyo vimesajili hapo bongo
 
Kampuni la kitapeli hilo mi nimesamehe laki 7 zangu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…