Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona kwenye kudeposite huo ujinga hatuulizwi wala kusumbuliwa.
Ni kwa ajili ya usalama wako. Wanahisi labda anaweza akawa anawithdraw mtu mwingine. So wanahakikisha pesa imfikie mlengwa.
Wewe hapo inavyoonesha tatizo ni namba yako kutokupokea sms ya uthibitisho kutoka kwao, ila mfumo wa miamala unatuma kabisa hiyo msg yenye code.
Jaribu kutumia vivivinjari tofauti kama ulitumia app, au tumia app kama ulitumia kivinjari. Logout kisha login na urudie zoezi tena.
Mimi kuna kipindi nilipata shida kupitia MELBET hela ilikuwa haifiki bank zaidi ya siku 10, I requested call but kingereza chao ikawa shida tupu kwangu, nikawaambia lugha yao napata shida kuielewa, akanipigia operator na namba ya South Africa ndio tukaelewana. Ila akikupigia simu atataka umpe namba ya NATIONAL ID tu ili kuthibitisha kama ni wewe kweli.
 
Niliweka 40,000/- Tshs. nikachezea 20,000/- Tshs. ikabaki 20,000/- Tshs. ndo nataka kuitoa
Unatoa hiyo hela unapeleka wapi sasa? Endelea kubetia

Kwamba umeona ni hasara?

Sasa kaka kampuni umehama ya tz, hela imeliwa kias unataka kuitoa, tusaidike vip tena wakat 1xbet imerud na ndy nzuri ya kula hela
 
Sure mkuu yaani napata tabu kuelewa ngeli yao maana sauti ni ya chini halafu mterezo mno. Walinipogia nikawaambia napata tabu kuwaelewa labda wanitumie maelezo kwenye email.
 
Hiv hiz ID za taifa, akicheki tu si majina yako halis yanakuja? Sasa kama majina yanakuja, vip zile name za namba yako ya simu zikiwa tofaut na hata sijui username
 
1xbet na 22bet kwenye apple zinasumbua sana kuinstall
Kuna mdau amezungumzia makampuni ya nje yasiyosajiliwa hapa Tz lakini watu wamemponda mno,tuwe makini wadau. Mimi ninaamini tulio wengi humu tunatafuta maisha kupitia kubet,na tunaumiza vichwa sana kuanzia kutafuta mtaji wa kubet mpaka kutengeneza mikeka yenyewe. Iko hivi,kuna siku mtu atawapiga hawa jamaa hela ya ukweli ila akashindwa kuipata na asiweze kufanya chochote akabaki anaugulia maumivu tu. Ushauri wangu ni bora kukomaa na makampuni yaliyosajiliwa nyumbani ambayo akina Tarimba watakusaidia yakileta longolongo kuliko haya yasiyosajiliwa. Ni kweli makampuni yetu yana option ngumu ila kamari ni kubahatisha iko siku unaweza tusua kupitia haya haya makampuni yetu. Msinichukulie vibaya washkaji na wala siipigii promo kampuni yeyote ya kibongo ila ni mtazamo wangu tu,ninaweza kuwa sahihi au nimekosea.
 
Hiv hiz ID za taifa, akicheki tu si majina yako halis yanakuja? Sasa kama majina yanakuja, vip zile name za namba yako ya simu zikiwa tofaut na hata sijui username
makampuni ya kimataifa wao uthibitisho mkubwa wa mteja ni NATIONAL ID. Na ndio maana ukiona huna kitambulisho cha taifa na una ndoto ya kupiga pesa ndefu, kaa mbali na haya makampuni, utakuja kuwatuhumu utapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…