Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sasa mbona mwishoni umejidefend
Jamani mtuache hela ni yetu hata tukipigwa fresh tu huku haturudi tena
 
Option km hizi ndio tunazifata huko cjawah kulost mkeka wowote wa odds 2 kwa option hiii this is my best option ever View attachment 1231970
Mkuu hii option ina hela! Nimechek baadhi ya mech za jana imetoa sana!

Shida inayokuja ni hii 1xbet kuanza kunizingua! Nataka niweke labda 50000 2 kwa mech 2, nikitaka kutoa wanigomee! Juzi nilipata shida yan, kutoa 120000 tu yan ni kusumbuana kama nini, badaye kabsa ndy nikaona notification skrill kwamba hela imeingia. Hicho tu
 
booooooom
ft 3-2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…