Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndo huyohuyo. Chichi, anajikutaga mfalme sana kundini. Yani uadmin tu unamtoa mtu akili, uenyekiti wa mtaa angekuwa anapangia mpaka watu muda wa kulala.

Huyo Chichi Ndo kabisaa Group alilifanya kama Ikulu mama£ kuna group moja nipo Nae na mm ndo admin ila hajui coz natumia jina jingine na yeye anajiita lile lile jina lake na namba yake niliisave akijichanganya tuu Nashuka nae jumlajumla
 
Kuna 1 quater pia unawezq kumpa win team flan unayoikubal

Pia ukitaka kuona possibility ya vikapu kucheza over ama under full time angalia total ya vikapu walvopewa kwa kila quater then jumlishq upate approximation ya vikapu kuweza kufnya makisio

Ukitaka kucheza inplay unaweza kucheza hata quarter 4 ukala zote ama ukaliwa zote unaweza kuunder au ku over kwa kila quater

Cha kufnya angalia idadi ya vikapu vilvopgwa angalia na saa mfno utakuta under 39.5 1 quater hapo angalia saa mfno ishafka dakika 8 bdo Kuna vikapu 18 au over 39.9 ishafka dakika 8 Kuna vikapu 31 unafnya makisio Bado dakika 2 na ov er time km ipo kufka vikapu 40 Bado vikapu bac bdo vikapu 8 unajipa moyo kusema vitapatkana Yani cheza na mda na idadi ya vikapu

Lolote linawezq kutokea
 
Kwenye tennis sio mjuzi sana me nakua nacheza home to win set one or set 2
Hi haina mda utakuta Kuna competitor wawil kila mmoja anatakiwa ashinde ball 6 over mwenzake kuwin set cjajua zinapgwa vp huku Mana kunakua na 40 15 30 cjui akifka ngap ndo anapata 1 hivo hivo mpk akifka 6 ndo anakuwa amewin mfno 6-3 anakua amewin 1-0 wanaenda set 2 hivo hivo ikiwa 6-5 ama 6-3 tena inakua 2-0 na mchezo imeishia hapo match inwweza isa in 30 minutes or 1 hour wakitoka 2-2 wanaenda set nyengne mpk apatkane mshindi unaweza ukakuta match ya tennis masaa manne haijaisha wakiwa wanadraw

Utakuta Kuna over and under team flan unaisab izo 6,3,6,5 kwa team flan ulioyipq over au kwa both team over maybe 19.5, 21.5 22.5au under na kuendelea

Au unampa direct win team flan ashinde bac

SINA UJUZI SANA HAPA NI HIVO TU NNAVOVIJUA
 
Kuna correct score pia 2-0 2-1 3-2 nk
Kuna total set pia kua kutakua na set 2,3,4,5 ama 6
 
Asante mkuu kwa maelekezo na ushauri
Sasa Skrill account ya nini wakati kuna Mobile Payments? Kujiunga haihitaji Degree wewe nenda Google andika 1xbet ikija click sehemu iliyoandikwa join now au Register halafu fuata Maelekezo watakayokupa! [emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…