Kuna ambaye hajampiga muhindi leo???Hahah OK...View attachment 1241391
Mimi kanipa hela kwa direct winMadrid nuksi sana
Mimi kanipa hela kwa direct win
Mpwa hii kitu na bahati huwa inahusika sana, ilishaninyima pesa ndefu dk ya 99 na siku moja ikanipa pesa dk ya 102 Sasa fikilia mechi inachezwa dk zote hizo ili uunyimwe au upewe.
Bahati ina matter sana huu mchezo ndo maana hela ndogo i mean 500 ndo inaongoza kwa kula pesa nyingi...unapofunga dau kubwa una kuwa very keen na selective hapo ndo jini linapokujaMpwaà 100% Niko naweww BILA lucky lazima uchangie sana mishahara ya wale wafanyakazi pale kariakoo na kwinginekoo
Wakoje Hawa manNashawishika kujiunga na MCHEZA tatizo ni kodi tu ila wapo vizuri
Daah play master wamepunguza odd kwenye option ya substitution kutoka 1.20 hadi 1.17
Msaada tafadhali!
kwa anaetumia bank Abc visa card kufanya miamala..ukiwithdraw pesa kutoka 1x account inachukua mda gani kusoma kwenye account yako?
daaah..imekula kwangu[emoji23][emoji23][emoji23]1xbet wamesitisha malipo kwa visa card
payment system nyingine ipi iko poa?1xbet wamesitisha malipo kwa visa card
payment system nyingine ipi iko poa?
poapoa asante mkuu...kaelfu 60 kangu nilikowithdraw naona ndo kameyeyukaa..mwenyewe nilishakapangia budget kabisa daah!!Bitcoin
Sub we unaweka over au Under????
kama 95000 iviWadau hivi kiwango cha chini kutoa kwa njia ya bitcoin ni shiling ngap?