Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Yani mkuu alhamisi huwa ni ngumu sana hasa europa!!kwa sababu team zifuatazoAlhamisi huwa siplace bet
Kwanza uwe na bahati yani bahati ni key factor kabisa.kuna watu humu ndani odds ya 1.8 tu kuipata ni kazi..ila watu wanaweka team 6 daily wanapata.Wadau nipeni elimu ya njia rahisi ya kubeti
Mechi ngapi umeshindahahaha nasubiri mgao wangu happView attachment 1243782
watu wana ona uvivu kukujibu kwa kua hayo maelezo yapo umu umu kwenye uzi Buddy ali fafanua vizuri tu jinsi ya kufanyaMwenye maelezo naomba anipe zaidi ya masaa kumi watu wametulia jukwaa limekua na ubinafsi sana
watu wana ona uvivu kukujibu kwa kua hayo maelezo yapo umu umu kwenye uzi Buddy ali fafanua vizuri tu jinsi ya kufanya
Copied from BuddyNgoja niutafute
Copied from Buddy
Kwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.
Duuh maelekezo ni marefu kidogo, ila nitajitahidi ...
Jinsi ya kununua bitcoins.
1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins
2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"
3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.
4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.
5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.
6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.
7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)
Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.
Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...
1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.
2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin
3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address
4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"
5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.
6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.
7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).
8. Click Continue.
9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.
NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.
Nilishajiunga local bitcoin shida ni kwenye kuverify Sina NATIONAL ID wala leseni haiwezi kuleta shida kutoa hela 1xbet???Copied from Buddy

Aseee core founder wa Uzi.Karibuni tuwekeze katika soko la betting... Iwe Meridian, M-Bet, Ladbrokerz, Iplay8casino n.k.
Acha kubet jero ili upate laki 7 au milion 2 utapigwa kila siku na kanji.
Acha kubet eti kwa siku mikeka 10,mara huu both to score mwingne over mwingne direct win mwingine kadi,na kuendelea mwisho wa siku hakuna mkeka ulio tick na kila mkeka imechana timu moja moja.
Acha tamaa ili mponza fisi,chagua timu chache angalau zenye chance option ya 99.6% ili izo % zilizo baki mwachie kanji maana nae anafanya biashara.
Mimi kwa siku na bet timu nne tu ambazo ni tennis 1 na soccer game 3 ambazo jumla ya ODDS zinakuwa 1.89 au chini ya hapo na stake naweka laki na nusu ili faida nipate laki kwa siku.
Kwenye mfumo huo ndani ya siku 30 ninaweza nika win mara 24 na kupoteza mara 6.
Niki poteza sina haja ya kuweka mkeka mwingine mpaka kesho kitu ambacho kwa watu wengine una kuta kaweka treni kubwa ikifika mchana kuna game imechana anaweka tena ikifika jioni kuna game imechana anaweka tena ikifika ucku kuna game imechana anaweka tena,anakuja kulala usingiz wa mang'amu ng'amu kisa mkeka wa ucku huyo tuna muita ni mpotezaji wa pesa.
Siyo kwamba sipotezi ila kwa wiki ninaweza nika win siku sita na ku poteza 1.
So wiki inaisha umefunga hesabu ya faida ya laki 4 na mtaji laki na nusu ipo kwenye account.
Angalizo: biashara ya kwenye makaratasi simple sana ila ingia kwenye real ground uone utamu wake.
View attachment 1243906
Uchawi unakaaga pia sometimes.Ila betting bana, yani naliwa tu, ata game mbili jamani?? timu unakuta head to head zinafunganaga had goli4-5 jana nikaifata 1.5 over, nikajua 100% napg, daaah mwsho wa siku score inakuwa 1-0 , jaman yan mpaka nahs kurogwa, maana kadr navyoongeza umakini, ndvy nazd kupgw tu.!!
Mzee baba hii Avator yako wanaweza kujua we ndo mzee "kigogo" mwenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kupoteza muda mkuu na betpawa jackpot, Mimi nilipiga game 12, bonus niliyopata nilijiondoa kwenye kampuni yao siku hiyohiyo.Nashukuru Mungu leo nimepiga 10/13 jackpot ya betpawa ila lengo langu liko palepale kulamb zote 13/13 najua mwaka hautaisha lazime nimkandamize kanji... nimepata imani kubwa wiki ijayo nitabeti mikeka 20 leo nilibet 8View attachment 1243784View attachment 1243785
Acha kupoteza muda mkuu na betpawa jackpot, Mimi nilipiga game 12, bonus niliyopata nilijiondoa kwenye kampuni yao siku hiyohiyo.
Nilipata 12000