Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilishajiunga local bitcoin shida ni kwenye kuverify Sina NATIONAL ID wala leseni haiwezi kuleta shida kutoa hela 1xbet???
Kama kawaida ya 1xbet ukitaka wasikusumbue kuhusu kuverify account usitoe hela nyingi kwa mara moja.
Localbitcoin haina haja ya kuverify account labda kama uwe unafanya miamala mikubwa mikubwa ya mamilion.
 
hii ndio inaitwa kujilipua lipua, ukiliwa pesa na vyuma hivi sijui, afu man city sio ajabu akasepa na kijiji 😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20191025-173539.png
    24.6 KB · Views: 18
Shida inakuja siku game zikikaa vizuri kutabirika, yaani favourite wengi washinde au ku draw basi ujue washindi mtakua kibao na mgao utakua kiduuchu
Acha kupoteza muda mkuu na betpawa jackpot, Mimi nilipiga game 12, bonus niliyopata nilijiondoa kwenye kampuni yao siku hiyohiyo.
Nilipata 12000
 
Mkuu kwa yoyote anaejua jinsi ya kutumia bitcoin naomba msaada wa maelezo jinsi yakufungua acc# mayoo, sungusungu na wengine wanaotumia njia hii
 
Mkuu naomba unielekeze dakika za basket, 1 qouter ina dakika ngapi? Half INA dk ngapi? 3 qouter ina dk ngapi? Na full time ni dk ngapi? Na ikitokea wakaongeza dk ua wanaongeza dk ngapi?
 
Mkuu naomba unielekeze dakika za basket, 1 qouter ina dakika ngapi? Half INA dk ngapi? 3 qouter ina dk ngapi? Na full time ni dk ngapi? Na ikitokea wakaongeza dk ua wanaongeza dk ngapi?
Mkuu pole
Kikapu sina uzoefu nacho kivile, mi nakomaa na soka
Ila wapo manguli wa kikapu watakupa details
 
Usanii tupu sasa hizo ulizokula umeficha za nn?
 
Mkuu naomba unielekeze dakika za basket, 1 qouter ina dakika ngapi? Half INA dk ngapi? 3 qouter ina dk ngapi? Na full time ni dk ngapi? Na ikitokea wakaongeza dk ua wanaongeza dk ngapi?
Kila quoter ina dk 12 kwa NBA & PHILIPPINES ligi nyinginezo ni dk 10
Jumla ya quoter ni nne
 
Nilideposit 20k kwa bitcoin..ila ukitoa kilo wanagoma,inamaanisha wanataka ni deposit kilo kabisa halafu niibetie?
 
Nilideposit 20k kwa bitcoin..ila ukitoa kilo wanagoma,inamaanisha wanataka ni deposit kilo kabisa halafu niibetie?View attachment 1244529
Kuna mawili
Ama wakati unadeposit kulikua na salio ulilodeposit kwa njia nyingine?

Au 1xbet wanakufanyia figisu

Naona watu wengi sana wanao deposit kwa njia ya bitcoins wanapata hii shida

Mimi kwangu sijapata hii shida kabisa

Sms inasema kama ulideposit kwa njia tofauti basi utoe kwa mgawanyo sawa na uliodeposit kwa kila njia

Je ulideposit kwa njia tofauti salio likakutana?
 
Kulikua na salio wakati na deposit mkuu..kama laki hvi nilideposit kwa njia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…