Asante sana wakuu kwa kunielewesha, kumbe kwenye soccer nilikua napoteza muda na kupigwa za chembe na Kanji daily!!! Ila kumbe mambo iko huku kwenye basketball, ni mwendo wa minyama tuu.Hapo kwenye under/over ipo katika kila quarter au 1st half/2nd half au full time(kwa quarter zote)
Kama ulibet kwa 1st quarter over/under vitahesabiwa vikapu(point) kwa hiyo hiyo quarter ya kwanza.
Swala zima wewe angalia matokeo first quarter iliisha ngapi ngapi.
2nd quarter inavyoanza point zinaanza kuhesabiwa na mwisho wa 2nd quarter nitakuwepo. Na kuendelea. 3rd.... 4th....
Kuna 1st half hapa ni 1st & 2nd quarter ndio inakuwa 1st half. Kama ulibet over 80.5 first half basi watajumlisha point za 1st na 2nd quarter.
2nd half hapa ni 3rd & 4th quarter ndio inakamilisha hiyo 2nd half.
2nd half
Mkuu unatumia njia gan kuweka na kutoa pesa?Mie ni mdau wa 22bet sija wahi pata usumbufu wowote kwenye kuweka wala kutoa
Ndo njia ninayoitumia tangu wafungie mobile transaction mwaka janaHvi kuna mtu amewahi kudeposit 1xbet kwa njia ya SKRIL je ugumu wake upoje?
Bet won
Kumbe fala tu wewe unakuwa mwili tu akili hsikuwi,,Sio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubuku
Unategemea kubeti ndiyo ulishe familia? Mie nilijuwa humu ndani kuna watu wanaojitambuwa tuu,, kumbe kunalinga limoja lipo,,, tafuta kazi maalumu ya kufanya usitegemee kamari tuu ndyo uendeshe maisha yako!! Kamari Fanya kama mchezo tuu na siyo ajira.. I hope umeelewaSio boya kihivyo... Jaribu kwanza kuangalia status yangu jf ... Pia jaribu kuangalia kwenye hili jukwaa.... Sijawatumia mcheza tangu msimu wa nba ulivyoisha ..... Mcheza wana option moja ya kikapu ya kuchagua highest ama lowest scoring quarter... Sasa kama sijwacheza msimu mzima wa pumziko namba zilizokuwapo hazipatikani msimu umeeanza narudi ... Siwapati... Nauliza halafu kimbelembele konyoooo weweeee..... Shenzy... Nimeliwa na nimejenga kwa hii biz... Ndio maana wakongwe hawaonekani tena ... La mama yako.... Aseee .... Mrudi shule tu sasa ... Na bet zenu za bukubuku
Natumia mobile payment system za KenyaUnatumia njia gani ku deposit na kutoa?
Hivi double chance 12....Hii inamaanisha nn?Hela ya supu asubuhi View attachment 1244849
Hivi double chance 12....Hii inamaanisha nn?
tumeshakunywa mbona soup ya pakaHamna hela ya supu leo asubuh?
Mobile payment za bongo zipo?Betpawa NI mikwundu yahn single bet kodi ya kushiba na Bado mpunga wanazingua kunipa ***** mda wa live inplay uunanipita ngoja wanipe changu nirudishe majeshi 22bet kwenye makato ya kutuma tu.....jinga sana betpawa
LMMYK kenge wewe.....Kumbe fala tu wewe unakuwa mwili tu akili hsikuwi,,