Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betpawa NI mikwundu yahn single bet kodi ya kushiba na Bado mpunga wanazingua kunipa ***** mda wa live inplay uunanipita ngoja wanipe changu nirudishe majeshi 22bet kwenye makato ya kutuma tu.....jinga sana betpawa
Halafu customer service yao mbovu Sana, Watsap hawajibu msg Wala simu hawapokei.
 
kampuni zote za bongo ni hakuna kitu bora kidogo princessbet..option zinalimitiwa,odds dogo,customer care mbovu,kuna match selection za uhakika zinaondolewa alafu wanafitina na kampuni kama 1xbet siwafanye kama hizi kampuni waone kama hatutawatumia
 
Matusi ya nini mkuu?
 
Play single

Burnley vs chelsea

Ht total home team over 0.5 odd 2.45
Stake 50k

Extra
Ht home win odd 5
Home win either half odd 2+
Home over 1.5 odd 3+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…