Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,702
- 2,287
Umenikumbusha mbali mkuu...mambo kama haya nimeyafanya sana mwaka juzi,ila tatizo la kuweka na kutoa pesa kwa mitandao yetu lilipoanza nikaenda likizo.Kuna mda kanji huwa analegeza kamba...unambamiza kuna mda anakimbia kweli kweli ππππ
Nisaidie kwenye HandcapeBadili mikakati
Magoli
Kona
Handcap nk
Itasaidia kidogo sababu hakuna kitu inauma kama direct win au dc
Unaona kabisa timu fulani ina kila sababu za kushinda game lakini inapigwa au kudraw
Ajali kazini
Udinese kapigwa red card dk 30 matokeo yakiwa 1 - 1
Atlanta 2half kafungulia nvua ya magoli
Bet lostView attachment 1246499
We ndugu hatari sana. Nimekunyooshea mikono hewaniKanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera sana aisee. Kweli wewe leo umempiga haswa na odds mlimaKanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona leo umelaza 10mil hivi. Hongers sanaKanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera mkuu idiot sema nini...ukitengezeza mwingine wa odds nyingi fanya kuutupia humu tutembelee nyota, hii makitu bahati pia ina nafasi yake aiseeKuna mda kanji huwa analegeza kamba...unambamiza kuna mda anakimbia kweli kweli ππππ
Kanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hongera Mkuu, Dah Un Upepo Mungu AkubarikiKanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yan hii michezo kuna wakat inakupa rahaa sana ila tabu ikigoma sasaNaona leo umelaza 10mil hivi. Hongers sana
Hakika huu upepo nadhan utakua wa kisuli suli hiz ice hockey kila siku zinagoma leo naona zimejaaHongera Mkuu, Dah Un Upepo Mungu Akubariki
Bro Nipo Nakusubir PMYan hii michezo kuna wakat inakupa rahaa sana ila tabu ikigoma sasa
Hapo MRUSI lazima amvutie waya KHANJI amueleze ulichomtenda.......Kanji leo amenyooka daaah ma ice hockey leo yamekubali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dah kuna wakat hii biashara inakubali sana ila kuna mda inazinguaNaona leo umelaza 10mil hivi. Hongers sana
Hahahaha aisee yan we acha tyuHapo MRUSI lazima amvutie waya KHANJI amueleze ulichomtenda.......
##wejamaaniNOMA##
Sent from my SM-M105F using JamiiForums mobile app
Usijal mkuu ila hizo ni ice hockey ambazo wengi huwa hawacheziHongera mkuu idiot sema nini...ukitengezeza mwingine wa odds nyingi fanya kuutupia humu tutembelee nyota, hii makitu bahati pia ina nafasi yake aisee
NishakuchekBro Nipo Nakusubir PM
Nashukuru Mkuu, Mungu Akubariki.Nishakuchek