Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Si wanasema withdraw via paypal bongo haiwezekani? au upo nje ya bongo? maana kama ni hivyo mimi nina akauti ya paypal zaidi ya miaka 5 kwa ajili ya kununua vitu ebay nisingekuwa nahangaika na njia nyingine.
Haya mambo unatakiwa ujaribu mwenyewe ujionee, hizi story watu wanasema haiwezekani na wewe unasema kweli haiwezekani wakati hujajaribu sio poa
 
Nabeti basket lakini kwa wiki hii mimekuwa naliwa sana naomba mbinu za kushi da
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…