Oi mwamba nimejaribu kureview hyo match ulowekew draw n kweli timu zilimalza 90min 2-2 extra time likaongezwa la tatu hii apo match formjamani hii so dhuluma au nini hichi naomba msaadaView attachment 1248710
Mara nying time huwa znaenda extra time mzee, ndo unashauriwa match unaijuia -pressure,type &,stats,Hii imetokea hata kwangu SUPER BET Hawa.
Game iliisha sare hiyoyaani jamaa nimemchagua na kashinda wao wanasema draw....daaaaahhhh
Jamani kwa 1xbet deposit kwa Airtel money master card. Lakini sijaju kama inatoa.
Bank Abc mkuuNi bank gan ume i link na Skrill account?
Kuanzia kuwango gani mkuu? Na wanakata bei gani?
Hivi hii aina ile ya kukopi beti kwa kutumia code kama1xbet
tumia bitcoin mwisho wa MatatizoMi nimejaribu hadi kwa skrill Lakn bila bilaView attachment 1248686View attachment 1248687
Pia hyo bitcoin Unaweza pokelea pesa?tumia bitcoin mwisho wa Matatizo
So far ndio njia ya uhakikaPia hyo bitcoin Unaweza pokelea pesa?
1xbet na 22betWakuu naombeni kuuliza hivi ni kampuni gani ina optn ya magoli ya kujifunga mwenyewe.
ahsante1xbet na 22bet
No Own Goal odd kuanzia 1.03 hadi 1.05
First goal own goal odd mlima