Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh leo nimejiunga na iyo parimatch.co.tz asee nimeshindwa kuitumia kwa maana inampangilio mbayaaa na mbovu sanaaa huwana napenda kubet kwa kutumia pc nimeshindwa yan nyie endeleeni kuwatumia tu

Mkuu tulia iyo ndiyo kampuni kwasasa bongo
 
[emoji837]R.Madrid win
[emoji837]Juventus win
[emoji837]Fc Basel win
[emoji837]Entracht Frankfurt win
[emoji837]Celtic ov 2.5

Odds 5.6+
 
Kaka mimi kama shabiki wa Liverpool nilifuatilia press na kocha msaidizi akaweka wazi mfano golikipa atakuwa ni wa wale madogo
washanichania mkeka hao mbwa kabla hata game haijaanza,nimeona kikosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…