Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Mie kuna pesa mle 1X, APP inafunguka vizuri ila kwenye web sms ya code kwenye simu yangu haifiki tangu jumatatu nimejaribu mara nyingi sana. Nimeongea na kutuma sms kwa maagent, kutuma e-mail nikaclear cache na kureboot kifaa changu sijafanikiwa. Kuna aliyewahi kuexperience hili tatizo na anajua ufumbuzi anisaidie?
Odds 2 unaona ndogo? yaani katika mechi karibia 3000 za wiki mtu unashindwa kuchambua hadi ufikishe hizo odds 2. Yaani hadi ile over 0.5 Full time inagomaJamani ofa yangu ya odd mlima bado imesimama pale pale
Shinda odd 100+ urudishiwe stake yako
Ningesema odd 2 mbona ingekuwa balaa maana zinatoka kila dakika
Guyz siri no 1 ya bet ni usiwe mroho
Tunafeli sana kuweka 1000 upate milioni au laki 5
Ukikomaa na odd 2 au 3 hautajuta sana kama odd mlima
Tunakumbushana
today is ur Shemeji bday
Let's celebrate with odds
Daah Mimi mwenyew inanizingua kutoa nimefata maelezo yao yote bado inazingua ngja nieendelee kukomaa naoWadau naomba kufahamishwa juu ya ku withdraw kupitia Vusa/MasterCard. 1xbet wanasema temporarily unavailable, inakuwaje hapa
Ht xtip ya troyes vs valenc hapo ht/ft imekaaje kaka