SADIO MANE
Katika gem 4 zilizopita kafanya kazi yake vizuri kwa kuipa Liver jumla ya point 9 asingekuwako yeye either wangechukua point sio zaidi ya moja kama Leo dakika ya 87 katia assist dakika ya 94 anaipa timu yake ushindiii !!! Kwa kuwa ni ngozi nyeusi tu ndo maana klopp hawez kukubali kwa sasa Mane ndo mchezaji wake Bora kwa sasa
SADIO MANE
KAMA MCHEZAJI BORA ZAIDI YA MARA TANO ( MESSI ) ALIMUWEKA MANE KAMA MCHEZAJI BORA NAMBA MOJA MIMI AU WEWE NI NANI SASA TUKATAEEE
Barcelona wamenilaza na viatu
Jamaa yuko vizuri ila naona bado gemu ya chelsea ikitoa tu jamaa anapiga milioni 20Kuda dadeq ebhana hongera sana
Poapoa mkuuNilitumia M_pesa MasterCard bt kudeposit kule 1xbet ikawa inasumbua pia wkati naweka pesa Nilikuta option ya GAMBLINg na NOn gambling mbaya zaid kile kitufe kikawa kimeganda kwenye non gambling so nikaweka hvyohvyo so kuwa makini na hlo eneo
Hongera sana Mkuu..
Naona umaskini bye bye, hongera kiongozi..kwa kazi kubwa!
Jaman wale wakustake 100K kaz kwenu msijesema hukusema
Under 2.5 first half only 3 match per dayView attachment 1252140
Barca nilimgaia wd lakini bado kakimbia na pesa yangu!! manina zakeDirect win ni risk sana, aliyempa over 2.5 anacheka sa hivi
Hata bayern,arsenal leo kwa direct win wameua watu
Wakuu natamani kuacha kubet ila nashindwa. Msahada wenu.