Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu natamani kuacha kubet ila nashindwa. Msahada wenu.
Usione mtu anasherekea ushindi ujue kashapigwa san na huu mchezo ukijaribu kuacha ngumu utabaki kusema huu wa mwisho usipotoa basi lakini hautoi utasema leo mwisho na utaendelea moja ya starehe fulan km pombe nitaacha lkn siku ya pili tungi lako[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau naomba kwa anae fahamu jinsi ya kufanya transfer ya pesa yaani kutoa pesa akaunti hii na kupeleka akaunti nyingine kwa upande wa Parimatch?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…