Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaondoka na laki 3 hiv hiv betting ngumu sana
daaah!! pole sana yaani siku ukiona barca ametangulia kupigwa au kutoka sare basi ujue kama Madrid anacheza baada ya hapo ujue kuna hati hati ya draw au kufungwa kuna jamaa nilimwambia kuwa hii game ya Madrid wamempa odds za ajabu lakini kama atashinda basi kwa tabu sana!! au ataishia kudraw
 
Juventus bana
mfumo wanaotumia juventus ushindi wa goli nyingi ni kazi sana maana team inacheza sana nyuma kuliko mbele maana hakuna winger wa kulia wala kushoto yaani diabala na ronaldo wote wanacheza kama second striker huku bernadechi anacheza kama attacking midfielder na wanyuma wanacheza kama center midfielder and center diffending midfielder so unaweza kuona approach ya game inavyokuwa na ukiangalia Torino sio wa mchezo mchezo
 
wacha wapigwe tu isee wamezidi kutupiga sana!! nahisi hiyo ilikuwa bonge La loss kwa meridian na nahisi jamaa atakuwa ameshapigiwa simu kuwa asibeti tena ndani ya mwezi mzima....
Hawawezi kumpigia wanajua atatamani kucheza madau makubwa na hivyo watarudisha pesa zao.

Ila kitu kimoja ujue kuna siku huyu jamaa usiku mmoja alipoteza milioni 3 na hatujui siku zingine ukitoa alichopoteza na alichokula bado ni fea kwake na kwa muhindi
 
Mkuu parimatch ukitaka kuweka mkeka na wakisema odds zimechange huwa unafanyaje? maana mi sionagi option inayoelekeza cha kufanya, nilizoea sportpesa systm yao nzuri saaaaaana ila sema tu udwanz wa kodi na mechi chache ndiyo vimenikimbiza ila hawana longolongo kabsaaaa sijawah hata kupigia simu customer care but nimejiunga parimatch nimewala kutoa mpunga ikagoma, ikabidi niwapigie kurekebisha tatizo imechukua siku 3, anyway parimatch wakiiboresha systm yao watapendeza sanaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…