project planner
JF-Expert Member
- Jul 8, 2019
- 1,170
- 1,562
Bora hiyo hela yako ukanunulie vocha acha na haya mambo ya kubetiJamani nataka nibet leo kwa kutumia kitochi, naombeni jinsi ya kubeti kwa kitochi mechi za uhakika, nataka nianze na 500 tsh.
Mechi za uhakika. Asante.
Aiseee kwa ushaurii tu ndugu yangu nakuomba achana na mambo ya kubeti niamini utakuja kujuta mimi mwenyewe nipoingia kwenye jukwaa hili walinishauri hivyo hivyo kuwa nisibeti nikawa mbishi ndani ya siku mbili nilipigwa laki tatu kamilli mpaka leo bado naikumbuka hela yangu tafadhali waachie wanaoweza haya mambo
Ft Chelsea over 0.5Chelsea Vs Crystal Palace?
Ft Chelsea over 0.5
hao eibar wasilie tu kwenye radio ni hatari sana ngoja nitarudi baadaeLeo natoka hivi
Crystal hawajaruhusu kufungwa goli zaidi ya 2 msimu huuChelsea Vs Crystal Palace?
Uhakika asilimia 88 na hatujui unastake vp tupate ujasiri wa kufataUhakika 88%
Stake what you can afford to lose View attachment 1258590
Sinaga utaratibu wa kuonyesha stake zanguUhakika asilimia 88 na hatujui unastake vp tupate ujasiri wa kufata
Hapo unamaanisha arsenal anapata goli 3 king power,au sijaelewa?Uhakika 88%
Stake what you can afford to lose View attachment 1258590
Hapo unamaanisha arsenal anapata goli 3 king power,au sijaelewa?
Ok nimekusoma[emoji122][emoji122]Aseno lazima afunge goli lakini zisizidi 3
Kuanzia goli 1 hadi goli 3
eibar leo hatoki madrid ana hasira sana nimeangalia interview ya zizzou wana morali kweli kwelihao eibar wasilie tu kwenye radio ni hatari sana ngoja nitarudi baadae