siku yako yaja[emoji16][emoji16].Wachaga wanasema akibakwa MMOJA sio WOTE mtabakwa
Mpepole yaliomfika binafsi naipenda kwa CASHOUT... HAYO MENGINEwapambane na halizaoo
Mkuu. Jaribu kuwapigia GAMIN BOARDkwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.
jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.
nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.
ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.
kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
Egypt anashinda
Wachaga wanasema akibakwa MMOJA sio WOTE mtabakwa
Mpepole yaliomfika binafsi naipenda kwa CASHOUT... HAYO MENGINEwapambane na halizaoo
nashukuru mkuu,je inahitaji malipo au ni bure?Mkuu. Jaribu kuwapigia GAMIN BOARD
namba yao kupiga ni buree ila kwa Voda
Halotel inagoma.
No yao hii APA;
0800110051
may be unaeza pata kitu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatudaii kuwa mpole
Waambie unaipeleka hiyo ishu Gambling Board maana wao wameshindwa kukusaidiasiku yako yaja[emoji16][emoji16].
unajiona VIP.
kwanza hata nayo wamekuwa wahuni tu,maana wana muda mwingine hawaweki.
nashukuru mkuu,je inahitaji malipo au ni bure?
Samahan! Mkuu Ukimalza kuongea naonashukuru mkuu,je inahitaji malipo au ni bure?
HIZIMECHI ZINA ODDS 3+DRW OF THE DAY
INDIA
RWANDA
GABON
MAXB SINGLE.....
nimewapigia sema nao wana mlolongo.Samahan! Mkuu Ukimalza kuongea nao
Tupe mrejesho maana Leo kwako kesho kwangu
KAMA UKUONA NA JANA LEO NAYO SIKU
JANA IMEENDA HIVI MAPEMA IKOHAPAView attachment 1262790View attachment 1262791
Yah set zizid mbiliHii over 2.5 ni kwa set mkuu..?
Fanya ivo bro! Wanaeza kupa na bonus ya gharama za usumbufunimewapigia sema nao wana mlolongo.
wanasema niwaandikie barua niiwapelekee makao makuu yao pspf tower ghorofa no 27.
ikiwa na malalamiko yangu,ila hamna namna itabidi nifanye,wamenikera sana hawa vilaza.
Tennis ukitulia hela unapata lose sio nyingi san na ina odds nzuri pia cha umuhim kutokata tamaaAsante Mkuu Na Pole Naamin Kwa Mkeka Huu Nishajifunza Ving Kuhusu Tennis. Asante Sana Kwa Moyo Wako
Hiyo ipo chini kabisa mara nyingi over 2.5 odds 2.30 under 2.5 odds 1.53Hv mbona hyo ova 2.5 sijaziona bt naona game nyingi no ova 20.5,22.5 nk
Asante Sana Mkuu, Mimi Nafuata Kama Ulivyo Ila Naenda Kule Meridian Ili Iwe Rahis Hata Kufanya Turbo.Tujaribu huu game ya mwisho inaisha saa 6 usiku 95%View attachment 1262813