Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkeka B so far so good
Kama game ya Senagali isingekuwa interrupted ingekuwa WON

Tusubiri tuone, anaongoza 4 kwa 1
 
Hawa Princessbet mbona wanakuwa wahuni, yaani mtu unashinda 47k wanakulipa 39k. Mambo gani haya
 
Wakubwa hii mechi ya Congo na Guinea-Bissau vipi? Ndio haitochezwa leo au vipi? Vipi kwa Gal Sports betting wanayo option kwamba ikifika baada ya muda wanakutumia hela kwa mechi zilizochezwa?
 
Wana baada ya kumtembezea kichapo sana kanji wa parimatch kwa njia ya basket naona kanitumia bonas Ila inabidi niitumie kwenye virtual games na virtual games amna basket naombeni maelekezo wazee.
 
siku kama nne hiv zilizopita niliweka mikeka miwil, mmoja ulitakiwa ukamilike leo (nijue nilishinda au vip) mkeka mmoj ulichanik, ikabid nisote kusubir huu mwingine, nimesubir mpaka nikaanza kukata tamaa, maan nadhan ni tang tareh 14 mpaka leo, ule mkeka niliodhan utakuwa wa uhakika, ulichanika, huu mwingine wa kusubiri sasa hv ndip nimepokea sms kuwa nimeshind elf 12.
kam nilivosem, nusu natandaza mikeka ya jero jero, sirudii tena kubeti mechi za mbali, nabeti mechi za karbu tu.
 
Wana baada ya kumtembezea kichapo sana kanji wa parimatch kwa njia ya basket naona kanitumia bonas Ila inabidi niitumie kwenye virtual games na virtual games amna basket naombeni maelekezo wazee.
Mkuu tupia tps za basketball soka vipigo vimezid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…