Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakubwa hii mechi ya Congo na Guinea-Bissau vipi? Ndio haitochezwa leo au vipi? Vipi kwa Gal Sports betting wanayo option kwamba ikifika baada ya muda wanakutumia hela kwa mechi zilizochezwa? View attachment 1265450
kila kampuni ina muda wake wa kurudisha hela kwa situation kama hiyo kuna wale wa masaa 24, 48 au 72.

ila Congo DR imeshinda leo
 
WALE WALIOJIUNGA NA DRW GRPS HOPE MOLA AJATUACHA HIZI SIKUTATU
2WOON/3 CONS
WHATSUP +255713458722
 
Hawa Princessbet mbona wanakuwa wahuni, yaani mtu unashinda 47k wanakulipa 39k. Mambo gani hayaView attachment 1265449
Princess Bet wameondoa bonus, wanasema ni kwa muda ila ndo hatujui mpaka lini. Hicho kidada hapo chini kushoto juu ya balance ukikifungua tu kinaleta hiyo msg.

So salio lililoko ni baada ya ile bet slip kukatwa kodi. Kihesabu zaidi tunaenda kama hivi,

Won amount - Stake = Faida
47,449.48 - 10,000 = 37,499.48

Kodi ya faida = 37,499.48x 20%
= 7,499.90

Salio baada ya kodi
=37,499.48-7499.90
= 29,999.58

Ukijumlisha na Stake yako
29,999.58 + 10,000
= 39,999.58

Hii ndo balance yako +/- visent vidogo
 
Kumekucha wana, NBA ni minyama tuu ya kuamkia blue Monday. Ni Mwendo wa live betting tuu mpaka kanji achanganyikiwe.
 
Hellow wakuu,Muhindi imefika zamu yake,serious staker mni-PM ili twende sambamba.note:Mtanichangia kidogo baada ya ushindi.
 
Mkeka A nao bet won

Unapoa amka nakukuta faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…