Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Waje
 
tupia mkuu nina hasira Egypt kanichania mkeka
 
Asante sana ndugu kwa kuwa na moyo mweupe juu ya mafanikio ya mwingine
Google utaziona kibao afu chambua vzr kwa kuangalia baadhi ya mechi wanazopredict at least kwa siku kadhaa
[emoji120]
 
Today's Tips

Euro qualification
Ireland vs Denmark
Tip 2x
Odd 1.37
Time 4:45

Euro qualification
Malta vs Norway
Tip over 2.5
Odd 1.42
Time 4:45

Euro qualification
Spain vs Romania
Tip 1st 10 min Draw
Odd 1.25
Time 4:45

Euro qualification
Gibraltar vs Switzerland
Tip under 5.5
Odd 1.40
Time 4:45

Euro qualification
Italy vs Armenia
Tip 1st 10 min Draw
Odd 1.25
Time 4:45

Intl friendly
Argentina vs Uruguay
Tip 12
Odd 1.38
Time 4:15

tafuta odds 2 au 3 funga dau [emoji111]
 
Mhindi Kamuua Liverpool Mazima au kajichanganya...Hii Mechi ya Nusu Final EFL CUP.. Tarehe 17/12
 
Wakuu hawa parimatch wana bonus kwel, nimejiunga ila sijaweka hela naona wananitumia sms hivo, hio bonus ipo kweli kwa mtumiaji wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…