Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

combine or single mzee baba
 
Jiunge freeemason....natania..Ni kuvhungulia mkuuu sure games zipo Sana ijumaaa jmos na jpili halafu na kujua sifa za ligi mfano check.gibartlar Switzerland kufungana kawaida.spain.america kusin more goals second half au 28+
OK,nimekusoma mkuu
 
Ungewahi kwenye Cash Out mkuu!
 
Daah weekend mbona imeanza vibaya. Dogo alikua na odds ndogo kashindwa kufunga, daah
 

Attachments

  • IMG_2222.JPG
    51.5 KB · Views: 21
20k pesa ndogo sana Mr ,usihofu,but pole
 
Hivi 22 bet imefungiwa pia? Naona kuna kufuli na maandishi kuwa haipatikani nchini
 
Won
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…