Hongera mkuu kwa kumchapa mhindi aiseeeWikoendiiiView attachment 1271430
Aisee 😁😁😁😁Atashinda mkyu
Aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakuu nimetoa hela jana mchana betpawa mpaka sasa haijaingia kwenye simu yangu na simu zao hawapokei/zinakata nifanyeje?
The same problem ,nawadai pesa ndefu sana hata hawajanilipa toka juzi,
Betting bhana kobenhavn alikuwa kashapigwa hadi dk ya 80 eti dk ya 81 kasawazisha dk 82 kapiga chuma cha pili.....doooh yani ina nikumbusha jana game ya flamengo na river plate hadi kombe limeshaanzwa kuchorwa river plate ila dk moja tu mama ya kabadilika...betting inatia presha hay cska Moscow fanya yako niende kwa mangi mie
Paok ananilaza njaa hapo
Sawa Mkuu daaaaaaHuyoooo weekend konyoo mkane KABISAA namwenzie appolon
Mimi Jana nilikuwa nimempa rotherham mkeka zaidi ya odds 200 akapigwa kipindi cha kwanza goli mbili nikajua kachana mikeka yote mitatu nikalala kuamka nakuta account inasoma 6300k sikuamini kumbe alisawazisha goli zote kaongeza na moja la ushindiBetting bhana kobenhavn alikuwa kashapigwa hadi dk ya 80 eti dk ya 81 kasawazisha dk 82 kapiga chuma cha pili.....doooh yani ina nikumbusha jana game ya flamengo na river plate hadi kombe limeshaanzwa kuchorwa river plate ila dk moja tu mama ya kabadilika...betting inatia presha hay cska Moscow fanya yako niende kwa mangi mie
Leo daaaaDeal done waliofuata tukale bia sasa angalau tujipoze kidogo
tuombe mungu afanye wepesi,