Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi Jana nilikuwa nimempa rotherham mkeka zaidi ya odds 200 akapigwa kipindi cha kwanza goli mbili nikajua kachana mikeka yote mitatu nikalala kuamka nakuta account inasoma 6300k sikuamini kumbe alisawazisha goli zote kaongeza na moja la ushindi
Ha ha ha hao ndo kawaida yao wazee wa come back yeye na Peterborough!! Mimi jana niliweka juve,inter mila,madrid ,barca,Leicester na liver ni weka pesa ya boss ya mzigo j3 yote mamaye nikasema nipate fedha au ni fukuzwe kazi you can imagine mzigo ulisoma bei gani kwa odds zile mzigo
 
Kweli jana kanji alilala na viatu maana wengine tuna gundu toka mwaka uanze tuna win za kuhesabu lakini Jana ilikuwa siku yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…