Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukhran..nijaribu tena leo kuweka hela ingn kwa kadi mana hata1xbet kwa ile 1500 bado inagoma
 
habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa yoyote aliyewahi kukumbana na tatizo kama hili
 
Attachments

  • premier 1.png
    37.4 KB · Views: 22
Naomba mnaoshare mikeka kuwe mnatupia mapema bahati mbaya kila ninapokuja kuangalia tayari baadhi ya mechi zishaanza
 
habari zenu wanajamvi, naomba msaada kwa yoyote aliyewahi kukumbana na tatizo kama hili

Yah hii imewahi kunikuta pia. Wakanipa namba ya whatsapp nitume vitambulisho na email yangu. Ilichukua mda kuactivate account yangu lkn mwisho wa siku ilikaa poa. Cha muhimu wasumbue kupitia whatsapp number yao
 
asante. vip unaweza kunisaidia hiyo namba yao ya whatsapp
 
Hiz prepaid cards za exim zimeanza kuzingua..nimeweka hela leo nikajaribu kutupia kampun za nje haikubali..inasema hakuna salio la kutosha, nikajaribu 1$ bado giza tuu
Kaka mimi nilichukua ya BancABC mara ya kwanza ikakubali, mara ya pili nikaweka 20k kila niki deposit 15k inaniambia hivo kuwa sina pesa ya kutosha, nakuja kuangalia wamekata 1200 nyingi tu. Nilichofanya nimeachana nayo na nimejiunga na MasterCard ya Airtel Money. Haina usumbufu hata kidogo. Wanakutumia OTP kwenye simu na instantly pesa inaingia kwa account.
 
MTAJI 3500
FAIDA 8,099,099
Biashara ya gani kwa SIKU MOJA Ni BETTING
 
Attachments

  • Screenshot_20191125-120400.png
    38.2 KB · Views: 24
  • Screenshot_20191125-120338.png
    37.8 KB · Views: 21
  • Screenshot_20191125-120324.png
    37.1 KB · Views: 23
  • Screenshot_20191125-120313.png
    43 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…