Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

una withdraw vip na airtel mastercard
 
Ni kweli, but hiyo option sijaelewa iko vipi? Naomba unipe darasa Kidogo niwe najaribu

Nachofanya mm mkuu nachukua game tatu kisha na bet half with most goals first half lakini individuality siunganishi
Katika izo timu tatu natumia elfu tano kila timu odd ikiwa imefikia4 kwahyo mkeka mmoja nakula elfu 20 au zaidi naukitoe elfu 15 yangu ya mtaji nakuwa nimeingiza faida buku5 kama zikitiki zote napiga elfu sitini
Obvious ktk game3 lazima moja au mbili au zote zitatoa magoli mengi kipindi cha kwanza
 
Parimatch bana ni wajinga sana

Ukitoa pesa ndogo inaingia hapo hapo, ila toa mzigo mzito hata sio kubwa 150k daa utasubili sanaa, wanakuomba vyet vya uraia unawapa, kila kitu unawapa ila hela hawatoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…